Je! Hekalu la tatu linaitajika hili kutimiza unabii wa Biblia

Je!Hekalu la tatu linaitajika hili kutimiza unabii wa Biblia
NaDaniel Parkes

Walimu

wengine wanasema kwamba hekalu la tatu linaitajika hili kutimizaunabii wa Biblia. Wengine wanasema haitajiki. Misimamo hii miwilihaiwezi yote kuwa sawa.

Je!

ni kitu cha muhimu?

Ukweli

ni kitu cha muhimuu kama hekalu la tatu linahitajika hili unabii waBiblia utimie, hii itatuzaidia kwa hakika kabisa “Kupima” mahalituko katika historia ya Bibilia mradi tu hekalu hilo limeanzwakujengwa. Lakini kama hekalu la tatu halihitajiki, basi tutatumiakipimo kingine. Lakini hivi vipimo vingine haviwezi kuwa hakika. Kwamfano, Yesu alisema hisara moja ya nyakati za mwisho itakuwa niongezeko ya matukio kama tetemeka la ardhi. Ni kweli kwambatumeshushuhudia mitetemeko ya ardhi mengi hivi karibuni, kwa hakikakabisa hayo matukio yanaweza kutupea mwongozo ambao sio kamilifu niwapi tuko katika unabii wa Biblia (hama pengine, kwa kweli, Bwanaapeane ufunuo mwingine kwa watu wake, ambayo inawezekana kupitiamaono na ndoto kulingana Yoeli 2:28-29, Lakini hapa katika toleo hilihatuongezi ufunuo mpya bali tunategemea ufunuo uliopo peke yakekupitia biblia.

Sasa 2

Wathesaloniki 2:3-4 inaongea kuhusu “Mtu wa uasi” ambaye “ataketikatika hekalu ya Mungu” katika nyakati za mwisho. Lakini wahubiriwengine (Wakiwa na malengo mazuri vile walivyo) wanafundisha kuwa hiiinamaanisha kuingiliwa kwa uongozi wa kanisa na wale wapinhao Mungu.Kwa mantiki hiyo “hekalu” basi ni kanisa. Kama wanafundishaukweli basi hiyo haya hapo juu haiongei kuhusu hekalu la kawaidaambayo itajengwa hizi nyakati za mwisho. Lakini ikiwa hao waalimuwamehosea, basi hiyo aya inaongelea hekalu la kawaida. Sababu mojainawafanya wengi kukataa kwamba kutaitajika hekalu la tatu ni kwasababu hiyo aya ina kipengee. “Hekalu la Mungu” na sasa kama niya Mungu Itakuwaje ile itakaojengwa na wale waliomkataa Yesu Kristoiitewe ya Mungu. Wanauliza hilo hekalu litaitwaje la Mungu?

Wakati

zile hekalu mbili za kwanza zilijengwa (na Solomoni na ingine naMfalme Herode), sababu moja ya kujengwa ilikuwa ni kutekeleza dhabihuya kila siku.. Lakini Biblia ya twambia kuwa hizi dhabihu zotezilikuwa ni kivuli ya hile dhabiu kuu ya Yesu Kristo “Kondoo waMungu” (Yohana 1:29). Na sasa hakuna hitaji tena la dhabihu(Waebrania 10:18). Sasa basi inawezekanaje hili hekalu la tatu liitwe”hekalu la Mungu?” Hii ndio sababu ya wale wanaosema kuwa 2Watessaloniki 2:4 inaongelea kuhusu kanisa na sio hekalu la kawaida.Hekalu la Mungu la kweli wanasema ni miili yetu (1 Wakorinto 6:19) nahekalu la Mungu lilio mbingu (Ufunuo 11:19). Lakini wale ambaowansema 2 watessalonike 2:4 inaongelea hekalu la kawaida wana sababutofauti. Wanasema kwamba, kipengee “Hekalu la Mungu” ambachokimetumika katika 2 Wathessalonike 2:4 ni hekalu kamili la kawaidaambalo litajengwa na wayaudi katika nyakati za mwisho. Hili si jambomuhimu kwamba limeidhiniswa na na Mungu au la.

Aya

nyingine inayotumiwa kutetea hekalu la kawaida ni Danieli 9:27 nainasoma “yeye” (ikimaanisha mpinga Kristo) atasimamisha dhabiuna dhabiu ya nafaka nyakati za mwisho. Lakini, mara nyingine tenakuna wale wanapinga hili wakisema kuwa neno “yeye” halimaanishimpinga Kristo, na wakati kamili wa hili kutendeka haliko wasi katikahaya hiyo.

Waalimu

wengine wa biblia wanapinga kuwa kipengee “yeye ni Yesu, na hilidhabihu iliyosimamizwa ilikuwa ni dhabihu ya kila siku katika hekalulile la pili, sio hekalu la hapo baadaye. Lakini hii haya kufundishakwamba inaongea juu ya yesu inaondoa kule kuelewa sehemu yake yakwanza, “na atafanya agano thabiti na wengi kwa juma maja” WapiYesu akafanya “agano la juma moja?” Ndio Yesu alifanya agano(Luke 22:20) lakini si kwa juma moja (ama miaka saba kama vilimafundisho yao yanaelekeza). Wale wanaosema kuwa hii aya inaongea juuya yesu hawajailewa vizuri. Hili tuweze kuelewa “Yeye” wa aya ya27 itabidi turudi nyuma na kuanzia aya ya 26 inasema, “Na baada yayale majuma sitini na mawili masihi atakatiliwa mbali, naye atakuwahana kitu, na watu wa mkuu atakayekuja watauangamiza mji, napatakatifu na mwisho wake utakuwa pamoja na gharika na hata mwishoule vita vitakuwapo; ukiwe umekwisha kukusudiwa.” Hivyo basi”yeye” inamaanisha mtu wa mwisho anayeongelewa katika aya ya 26,sio “masihi” lakini ni “mkuu atakaye kuja” (ambayo kulinganana mukadhata inaweza maanizha mpinga kristo)

Sasa

nifuate kama utaweza wacha tuingie Daniel 12, hapo ndiponitakapokuonyesha kwamba hekalu la tatu lazima lijengwe ndipo unabiiwa biblia utimeo. Ninakuachia usome Daniel 12:1 -13 (ambacho nikifungu cha umuhimu kwa mambo ya nyakati za mwisho na ninahakikaitakubariki ukiisoma yate) . La kwanza kabisa kwamba Danieli 12 nisura ya nyakati za mwisho inaonekana katika aya ya Danieli 12:2,Danieli 12:4, Danieli 12:6, Danieli 12:9 and Danieli 12:13(Ninamwachia msomaji asome ambazo ninaamini zitamsaidia kunifuatavizuri katika somo hili muhimu). Sasa soma Danieli 12:11 ambayoinasema,”Na tanga wakati ule ambapo sadaka ya kuteketezwa ya daimaitaondolewa na hilo chukizo la uharibifu litakaposimamishwa, itapatasiku elfu na mia mbili na tisini.” Sasa haya hii kwa uwazi kabisainaonyesha kuna hitaji la hekalu nyingine hapa duniani katika nyakatiza mwisho. “sadaka ya daima ni sadaka ambayo infanyika ndani yahekalu. Kulingana nah ii aya, sadaka hiyo itakomezwa. Ili iwezekuzimamishwa laizima iweko. Na hili sadaka hii iweko, lazima kuwe nahekalu.

Kutejengwa

hekalu la tatu huko Jerusalem? Itajengwa

Hili

ni muhimu ili kuelewa unabii wa Biblia? Ndio

Hata

hivyo sura hii itatupatia ratiba kamili ya matukio muhimu ya nyakatiza mwisho.

Haya

ni muhimu sana kwa wale watakaopatikana hapa wakati wa dhiki kuukujua, hili waweze kuwa na moyo wa kuendelea nyakati hizo.

Tegea

sehemu ya pili ya fundisho hili

Soma

hili limetafuziliwa na Jeremiah M.Mosomi

Tarehe:

28/07/2011

Leave a Comment