Je! Noro alikuwa mpinga krsto

Je!Noro alikuwa mpinga krsto
NaDaniel Parkes

Mathayo

24 ni sura muhimu ya kiunabii. Ni katika sura hii Yesu anaongeleakuhusu” chukizo la uharibifu” lililoandikwa na nabii Daniel. Ayazenyewe ndio hizi.

“Basi

hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabiiDanieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu) ndipowalio katika Uyahudi na wakimblie milimani naye aliye juu ya dariashuke kuvichukua vitu vivivyomo nyumbani mwake, wala aliye shambaniasirudi nyuma kuichukua nguo yake. Ole wao wenye mamba nawanyonyeshao siku hizo!. Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya Sabato. Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhikikubwa ambayo haijatoke namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hatasasa, wala haitakuwapo kamwe. Na kama siku hizo zisingalifupizwa,asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwasiku hizo” Mathayo 24:15 – 22.

Hili ni agizo limetolewa

na Bwana Yesu Kristo kutoroka. Hili litafanyika lini? Wenginewameandika kuwa hili limeshatendeka katika miaka ya 66 – 70AD,wakati Warumi waliharibu Jerusalem. Fundisho lao basi linafundishawatu kuelewa kuwa unabii huo umetimia na hauna maana na nyakati hizi.Lakini Je! Wakiwa wamekosea? Tutajuaje wamekosa? Kwa hakika, maandikosio kitu cha kuchanganya ama yanachanganya? Hizi aya muhimu ni zakuonya Israel, kuhusu nyakati za dhiki kuu hapa duniani, ambakowatahitajika kutoroka hili kuyasalimisha maisha yao. Ikiwa waalimu waBiblia hawawezi kuwa makini wanaweza kutumika na adui bila kujuakuiweka Israeli kutulia badala ya kuwa tayari. Kuna utofauti mkubwakati ya hayo mawili.

Kwa

bahati nzuri, yanaweka mambo wazi kabisa kuwa nyakati za kihistoriazinazongelew sio nyakati za Nero 66 – 70AD. Hivyo ndivyotutakavyojua kwa hakika wakati Yesu anataja “Chukizo la uharibifu”ambalo lilinenwa na Danieli, msemo huo umetumika mara tatu katikakitabu cha Danieli. Danieli 9: 27, Danieli 11:31, na Danieo 12:11.Hili “chikizo la uharibifu” ni “alama ya kinabii” katikamaandiko ambayo inatuzaidia kuunganisha mafungu ya maandiko pamoja nakuzilinganisha. Kwa sababu hakuna “Machukizo matatu ya uharibifu”bali ni moja tu. Hii inakubaliana na vile Yesu anasema, piainaelewana na msemo Daniel anatumia, ambayo ni “Chukizo ambalolinateta uharibifu” na sio “chukizo liletao uharibifu”

Basi

kuna chukizo moja tu ambalo linaleta uharibifu na katika aya hizitatu zinazopatikana katika kitabu cha Danieli, lazima tuweze kujua niwakati gani unaongelewa. Vile inaonekana aya moja inalenga sio wakatiKristo alikuja kwa bali, kuja kwake mara ya pili. Aya hizi ni Danieli12: 1 -13, na katikati ya aya hizi tunapata “Chikizo liletaouhabifu” linaloongelewa (Danieli 12:11). Tembea nami, ukiweza,tupitie aya nyingi za sura hii ambazo zinaashiria kuwa wakatiunaongelewa hapa ni wakati wa Yesu kurudi mara ya pili, sio kuchakwake mara ya kwanza. Hili mambo yaweze kuwa rahisi. Nitaiweka suranzima hapa na nitoe maoni yangu katikati ya hizo aya.

 1. Wakati

  huo Mikaeli atasimama, Jamadari Mkuu, asimamaye upande wa wana wa watu wako; na kutakuwa na wakati wa taabu, mfano wake haukuwapo tangu lilipoanza kuwapo taifa hata wakati uo huo; (huu ni wakati wa dhiki kuu, ambao utakuwapo nyakati za mwisho)” na wakati huo watu wako wataokolewa, kila mmoja atayeonekana ameandikwa katika kitabu kile.

 2. Tena,

  wengi wa hao walalao katika mavumbi ya nchi wataamka wengi wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa (Hii aya inaongelea ufufuo ambao utakuwa nyakati za mwisho).

 3. “Na

  walio na hekima watang’aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang’aa kama nyota milele na milele”

 4. “Lakini

  wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie mhuri kitabu, hata wakati wa mwisho, wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka ” (karibu sana hii aya iongelee usafiri wa angani na tarakilishi, ambao yatendeka nyakati za mwisho).

 5. “Ndipo

  mimi, Danieli, nikatazama, na kumbe wamesimama wengine wawili, mmoja ukingoni mwa mto pande huu, na mmoja ukingoni mwa mto upande wa pili”.

 6. “Na

  mmoja akamuuloza yule mtu aliyevikwa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, Je! Itakuwa muda wa miaka mingapi hata mwisho wa mambo haya ya ajabu?”

 7. “Nami

  nikamsikia yule mtu aliyevikwa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, hapo alipoinua mkono wake wa kuume na mkono wake wa kushoto kuelekea mbinguni, akaapa kwa yeye aliye hai milele na milele, ya kwamba itakuwa wakati na nyakati mbili, na nusu wakati; tena watakapokuwa wamekwisha kuvunja nguvu za hao watu watakatifu, ndipo mambo hayo yote yatakapotimizwa”

 8. “Nami

  nikasikia, Ee Bwana wangu, mwisho wa mambo haya utakuwaje?”

 9. “Akasema,

  Enenda zako, Danieli; maana maneno haya yamefungwa, na kutiwa muhubiri, hata wakati wa mwisho.” (Hii aya inawezakuwa wazi kuliko hapo kwamba inaongelea nyakati za mwisho sio kurudi kwa Yesu mara ya pili.?)

 10. “Wengi

  watajitakasa na kujifanya weupe na kusafika; bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali wao walio na hekima ndio watakoelewa.”

 11. “Na

  tangu wakati ule ambapo sadaka ya kutekelezawa ya daima itaondolewa, na hilo chukizo la uharibifu litakaposimamishwa itapita siku elfu na mia mbili na tisini.

 12. “Heri

  angojaye na kuzifikelia siku hizo elfu na mia tatu na thelathini na tano.”

 13. “Lakini

  enenda zake hata utakapokuwa mwisho ule, maana utastarehe, nawe utasimama katika kura yako mwisho wa siku hizo (“mwisho wa siku hizo, ni meneno ya kinabii yanayomaahisha siku za mwisho wakati yesu atarudi hili kuusimamisha ufalme wake; hapa tena mara nyingine haya hii inaashiria ufufuo, ambao utafanyika sio wakati wa kuja kwa yessu mara ya kwanza, lakini kuja kwake mara ya pili.)

(Danieli 12:1 -13, maelezo yangu kwa rangi nyekundu.)

Tamati

Kuna

aya nyingi katika sura hii ya 12 zinazodhihirisha kwamba sura hiiinafundisha kuhusu kurudi kwa Yesu mara ya pili sio kuja kwake maraya kwanza. Katikati mwa sura hii, Danieli 12:11 ndipo tunapatakipengee hiki “chukizo liletao uharibifu” likitumika. Hili ndilolile chukizo liletao uharibifu ambao yesu aliloongelea wakatialipokuwa duniani ambalo litakuja na Israeli watahitajika kuturoka.

“Basi

hapo mtakapolina chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabiiDanieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu) ndipowalio katika uyahudi na wakimbilie milimani,” (Matayo 24:15 -16)

Yesu

alitahadharisha “asomaye na afahamu” kwa sababu yeye alijua kuwafundisho litakuja la kufundisha kuwa hayo “yametimia” wakati kwakweli hayajatimia. Tukilinganisha Danieli 12 na aya hizo katikaMathayo, inadhihirika wazi kwamba yesu alikuwa ananenea manenoyatakafanyika wakati wa kurudi kwake mara ya pili na sio kuja kwamara ya kwanza. Tunajua kufikia juni 2010 wakati wa kuandikwa kwasomo hile haya hayatenedeka.

Hili

“chukizo liletao uharibifu” sio kuhusu “Nero” kabisa, kamavile wengine wanafundusha kimakosa. Ni kuhusu mpinga kristoatakayetokea siku za usoni na aitawalE dunia ambaye hajadhiriswa.

Waja

asomaye na afahamu!

Tukio

hili linakuja. Ukiwa duniani wakati wa kujengwa kwa hekalu la tatu nanilazima lijengwa kabla Yesu hajarudi MARA YA PILI hapa duniani, kwakutegemea aya za kinabii, chunga.

Soma

hili limetafuziliwa na JeremiahM.Mosomi

Tarehe:

28/07/2011

Leave a Comment